Walijikaza na kutia
bidii wakapata digrii zao
Sasa ni jukumu letu
kuyaweka masilahi yao mbele!
MSIMAMO KATIKA JAMII

 

Dhamira ya BrainChain ni kuwa chanzo cha mazuri :
Kukomesha udanganyifu, kukuza uhamasishaji wa talanta, kuwapa wanaotafuta kazi nafasi sawa na kazi wanazozitafuta ;
… wakati huu wote wakichangia kifedha katika elimu ulimwenguni.
Vyuo vikuu ulimwenguni kote vinaunda kizazi chetu kijacho, lakini wanakabiliwa na uhaba wa jinsi ya kuendeleza hili.
Kwa hivyo, BrainChain huzipa vyuo vikuu humusi ya pesa hizo!

Ombi la kuandikisha chuo kikuu

FAIDA KWA CHUO KIKUU

 

Vyuo vikuu havina sababu ya kuwa na shaka :
Kujiunga na BrainChain kutawaokoa mzigo wa mara kwa mara,
wa kuthibitisha diploma walizozitoa tayari;
Pia inahakikisha watu wanaojifanya wamemaliza masomo
hawataweza kulipaka tope jina lao.

Kwa mtindo wetu mzuri wa mapato, tunaamini kwamba
hili litakuwa ni jambo la kale;
ikiwa ni kazi nyepesi,
iliyojumuishwa na wale wote waliowahi kuhitimu,
vyuo vikuu hupata chanzo cha mapato endelevu.

Andikisha chuo chako

WANAOTAFUTA KAZI

 

Tunakaribia mwisho wa enzi ambayo makaratasi
zilizobuniwa pande zote kama injili kuisha.
Inamaanisha kuwa tumekuondolea mzigo huo na pia
unastahili nafasi nzuri katika soko la kazi,
kwa kuwa digrii bandia zitakuwa jambo la zamani.

BrainChain inazingatia sana usalama wa vyeti vyako :
inaangazia chaguo zote ikifafanua kwa usahihi ni nani anapata
kuona nini na kwa muda gani.

Hakuna kinachoshirikiwa bila idhini yako ya awali na ya wazi.
Hakuna ubaguzi.

Jiandikishe kama mtafuta kazi

WAAJIRI

 

Ni kazi nyingi na tena inayochukua muda mwingi,
kuangalia digrii za waliohitimu bila usaidizi wowote wa kiteknolojia.
Ingawaje… kuwasilisha watahiniwa ambao hawajahitimu vilivyo ni jambo linalofedhehesha kampuni na kuhatarisha operesheni zake.

BrainChain inakupa nafasi ya kufanya hili kwa njia rahisi
… na kwa ada ndogo !!
Kuondoa vizuizi vyovyote ili uweze kumlenga
mtu badala ya karatasi zake.

Jiandikishe kama Kampuni