BRAINCHAIN
Balozi wa diploma na sababu mpya!
Brainchain hufanya kazi kama balozi wa kuthibitisha diploma na digrii zako.
Baada ya kukagua chuo chako pamoja na vyeti vya kuhitimu, ...
inakuwa ni jukumu lako kutupatia ruhusa ya kile tunachoweza kuweka hadharani, imfikie nani na lini.
Kwa hivyo wakati unapotafuta kazi, diploma na digrii yako inakuwa ni jambo la mwisho kukupa wasi wasi!
ULINZI

 

Timu yetu ya wahandisi ilijikakamua vilivyo kuhakikisha kwamba BrainChain imeundwa kwa msingi thabiti.

Diploma zote hazijasimbwa tu na funguo za siri, zimehifadhiwa kwenye hifadhi ya pekee zaidi ya mtu yeyote aliye na nia mbaya.

 

Ombi la kuandikisha chuo kikuu

UWEZO WA KUTHIBITISHA

 

Kwa muda mrefu sasa, watu wamekuwa wakitumia njia za mkato wakisaidiwa na mifumo mbali mbali ya kiteknolojia ili kupata kazi.

Hili limekoma.
Digrii zote zinachunguzwa na taasisi ambazo zilizitoa, ili kumaliza udanganyifu wa aina yoyote na mizizi yake. Hii inasisitiza ushindani wa haki kati ya wanaotafuta kazi wote.
Pia huipa kampuni uhakikisho kwamba wanaweza kuajiri watu bila kuwa na shaka.

 

Nenda kwenye wasifu wako

KOTE ULIMWENGUNI

 

Dunia imekuwa kama jamii ndogo, watu wakiwa na uwezo wa kusafiri na kutafuta kazi mahali popote duniani.

Lakini kufikia sasa, hakuna misingi au njia thabiti za kuthibitisha diploma na digrii hizi.

Kuna suluhisho moja litakalowezesha jambo hili, kwa kushirikisha vyuo vyote vya kweli ulimwenguni.

Matukio ya njia hii ni makuu;

Kwani wafanyikazi popote duniani wanaweza kuthibitisha diploma na digrii.

 

Jiandikishe

GHARAMA

 

Kuna njia nyingi zimechipuka ambazo ni ghali na za kuchosha.

Kwa kweli kampuni za faida zinazotoa huduma hii hutoa ada ya juu kwani wanafahamu kwamba unawahitaji unapotafuta kazi.

Hili halifurahishi kamwe.

BrainChain sio kampuni ya faida na tuko hapa kukosoa hilo.

BrainChain inatumia mitindo ya kompyuta na mitindo mingine ya kidijitali kufanya uthibitishaji.

BrainChain ni bure kwa vyuo vikuu pamoja na wanaotafuta kazi.

Pesa hizi zinatumika kuisaidia sekta ya elimu –Asilimia 20% ya pesa hizi zinawarudia vyuo vikuu ilhali asilimia inayosalia inatumika kuendeleza operasheni zetu.

 

Liandikishe kampuni lako

MAZINGIRA & UKASI WA UTENDAJI KAZI

 

Teknolojia inayotumika na BrainChain inahakikisha kwamba uthibitishaji wa wanaotafuta kazi unafanywa kwa haraka.

Hata iwapo wale wanaotafuta kazi hawajaweka makubaliano ya awali,
mtiririko wa dijitali unafuata maombi ya kampuni kwa wakati halisi ili kufunga kitanzi kiatomati mara tu idhini itakapotolewa
(au kukataliwa, tazama sehemu ya faragha).

Katika haya yote, tunatunza mazingira pia; sisi tulichagua seva maalum zinazoendesha nishati safi.

Tunafahamu sana kuwa hii ndio sayari ya pekee iliyo na chokoleti. Kweli … hatuna hakika kabisa lakini kama hii ni jambo muhimu,
kwa nini uchukue nafasi yoyote?

 

Liandikishe kampuni lako

USIRI

 

Kuna BrainChain ni aina ya Uropa, Tuna habari zaidi juu ya mahitaji ya siri.
Kufanya kazi kwa njia muhimu zaidi.

Takwimu za data za mwombaji bila idhini ya habari.
Hatuna Ubaguzi

 

Jiandikishe